Yaa tupo bize ikulu hapa tunachakata mambo,,,,sema tu tutawaletea mtu anaezijua Siri za nchi hii yasitokeee kama yajana eti amir jésh mkuu apewe Siri zanchi n'a jeneral,,
Ndio maana kigogo anawakumbiza sana,,,Magu n'a samia walikuwa ofisi moja sasa unajiuliza kulikuwa nasiri ambazo magu n'a mabeyo wanazo nasamia hazijui, kunashida mahali yaani mtu ambaye kikatiba alikuwa anasimamia ofisi ta rais kama rais hayupo Léo hii kumbe kuna baadhi yasiri hazijui? Ina...
kama mnajaribu kuhamisha magori hivi ??? Alisemaga kama ccm haitavurugika saizi bas haita vurugika tena naona huu nimda mwafaka mnasengenyana sana Siri zaikulu ziko hadharani mnaenjoy tu hamna waswas
We fikiri hali yakifeza iliyokuwepo kipind hicho lakini mhuni katandaza mataaluma dsm to tunduma,,,lakini jamaa kipande kidogo tu cha reli wanamfagilia kama majaabu flan,,,
Kwo siku hizi misiba nimashindano ?? Ndo mana watu wanatwanga mbege safari namziki kwasababu mnefiwa badala yamhuzunike mnatafuta viewers namafolowaziii 😂😂😂turudi kwenye hoja idadi yawatu kipindi hicho nasaizi nitofaut,, ufatiliaji wakipnd hicho nasaiz nitofaut usingeweza kukusanya data za idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.