Nimefanya vpmo zaid ya mara2 na kuelezwa kua niana damu nying mwilin hii ni baada ya kuhis maumiv ya kichwa kila wakati na wakati mwingine damu kutoka puan bila hata kuguswa na mtu yyt.
habari waungwana;
Napenda kujulishwa kwamba kuna madhara gani ya kutoa damu mwililini pindi inapokua imezidi kiwango cha kawaida? Na kama kuna njia mbadala ya kutatua tatizo hili naomben kujulishwa tafadhali.
Ahsanten.
Habari waungwana, ninapenda kuuliza kua ugonjwa wa U.T.I. unaweza kumpelekea mtu kupungua nguvu za kiume? Na kama ni hivyo nifanye nini kutatua tatizo hilo?
Asanteni sana, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
hello senior,
natumaini u mzma wa afya kbs. Napenda kukufhmish kua kwa upande wng naona kua mfuko wa pspf upo vizur kwan hata mashrt yake ni bora zaid au km c huo bac jiunge na NSSF. Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.