Recent content by Mkali wa JF

  1. Mkali wa JF

    Hivi nje ya HESLB nani anaweza dhamini elimu ya juu nchini?

    Tanzania tuna matatizo ya kimfumo.kwa mfano pale Udsm kuna wanafunzi wengi sana ukiagalia historia zao wamesoma shule za gharama kubwa sana na wengine kuliko hata zile wanazotakiwa kulipa chuo kikuu. mfano mimi nina rafiki zangu wengi wamesoma Shule kama saint Francis,Marigoreti na Marian Girls...
Back
Top Bottom