huu ulinganishi wa vyuo vikuu hauta 2peleka popote katika ngazi ya kimafanikio,ukisema kua kuna vyuo bora na visivyo bora inamaana kua kuna baadhi ya vyuo unavyoviona kwa mitazamo yako binafsi kua co bora havistahili kutoa taaluma ya hadhi ya vyuo vikuu,lakini jaribu kufanya research kwanza uone...
Baada ya kuamka asubuhi majira ya saa 12 asubuhi na kuangalia simu yangu ya mkononi nilikuta kuna missed call kama tano toka kwa rafiki yangu wa karibu na ni mdau wa bongo movies kama nilivyo mimi.niliona itakua ni busara kama nikimpigia jamaa na kumuuliza ni yapi yaliyo jili mwanzo wa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.