JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Mahabati
Alikuwa ni rita niliyempenda zaidi pale kazini kwetu , kazi yake sikujua ni nini haswa , lakini nilimwona mara kwa mara akipita huku na kule katika shuguli , mimi kazi yangu ilikuwa ni nyingine kabisa .
Kampuni yetu ilikuwa kubwa na wafanya kazi wengi , ilikuwa sio rahisi kujua watu wote koz...