Recent content by mkabaroho

  1. M

    Jinsi ya kuondoa ngazi ya elimu ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imebid nichek membership yako kwanza! Niko hapa kabla ww hujazaliwa.
  3. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakati ww ikiwa unaleta negativity mm nishaingiza mkwanja
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nichek inbox nikupe trick! Ila usiwe bahili, 10% muhimu pia. Karibu
  5. M

    Benjamin Mendy afutiwa mashtaka ya udhalilishaji wa ngono kwa wanawake

    Ungemalizia kuwa haya kaandika Memphis Depay kwenye ukurasa wake wa tweeter!
  6. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Flex ni nzur sana....ila utie mzigo mrefu ndo utaona matokeo yake
  7. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hyu mwamba ni noma sana....ila dau lake pia si la kitoto
  8. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mtu anatumia steller... Mambo ya cypto
  9. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataman sana kuhamia 1xbet ila swala la mawakala naona ni kichomi....hakuna njia mbadala ya kuweka na kutoa pesa jamaniiii?
  10. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Casino cyo poa mzee...! Pole sana
  11. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante mkuu...hv kupitia bank haiwezekani?
  12. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hv hawa jamaa unawekaje hela mdau??
  13. M

    Nimeondolewa kwenye Tarrif 0 [Tanesco]

    Sababu za kuondolewa ni kununua umeme wa elfu 10 ili itakapokatwa kodi ya makazi ibaki elf 9 ndo iwe malipo ya umeme. Sijui hata nifanyeje jamani maskini mimi
Back
Top Bottom