Kitendo cha kujitoa ni dalili za kujihami kwa matendo yao!mahakama hii imesaidia sana kuwashikisha adabu viongozi makatili wa Africa wasiojali haki za binadamu kwa tamaa ya madaraka na mali!watendeeni haki watu wenu hakuna atakayewapeleka huko.
Sishangai mawazo yako mzee maana wewe ni mmoja kati ya wanajiona mna mamlaka na au hati miliki ya kuwaamulia Watanzania mnavyotaka!Mlipotufikisha panatosha sasa tunataka mawazo mapya!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.