Heshima zenu wakuu,
Nina penda sana kilimo cha herbs kama mint (mnanaa), basil (mrehani), rosemary, sage(mjuzi), citronella(kibelarusi), lemongrass (mchaichai), lemon balm (zeri ya limao) na nyingine kama hizi. Tafadhali naomba msaada wa kujua ABC zake ikiwemo mikoa/hali ya hewa, madawa...