Recent content by Mkaa_Maridadi

  1. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Kwasasa hatuwezi kutosheleza demand ya mji mzima...hayo ni matazamio yetu ya baadae
  2. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Ni kweli...ila kuna size na shapes tofauti ukitaka kuanzia mkaa mkubwa hadi mdogo inategemea na matumizi...
  3. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Asante kwa ushauri..naanda video nitawawekea pia
  4. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Habari...Mbezi Msakuzi iko mbezi Luis ukifika kituo cha mbezi mwisho (baada ya kimara) umachukua magari ya kwenda Msakuzi
  5. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Bei ya rejareja ni sh 800 kwa kg..uko sehemugani??
  6. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Tumeanza uzalishaji muda si mrefu..kwasasa tunasajili agents mikoani...uko mkoa upi?
  7. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Sijaelewa unavyosema unaisha mapema na chenga nyingi mkuu...
  8. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga...mkaa huu unakaa muda mrefu zaidi (mara 4 zaidi ya mkaa wa kawaida)... Kuhusu utengenezaji, unatengenezwa kupitia vifuu vya nazi na mabaki ya mimea mikavu ambayo inapitia mchakato wa carbonization (malighafi inachomwa katika oxygen controlled environment...
  9. Mkaa_Maridadi

    Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

    Habari wana JF wenzangu...napenda kuwajulisha kuwa tumefungua kiwanda cha kutengeneza mkaa wa kisasa kilichopo Mbezi Msakuzi... Mkaa huu (Jina Mkaa Maridadi) ni bei rahisi, unadumu kwa muda mrefu zaidi, hautoi moshi wala cheche na ni rafiki kwa mazingira. Mkaa huu unatumika kwa matumizi ya...
Back
Top Bottom