Recent content by MJUMBE WA NCHI

  1. M

    Huyu ndiye Edward Lowassa

    Kama kweli lowasa amefanya yote haya akiwa ndani ya ccm basi wenye akili hawana haja ya kuiami ccm.kama ccm ilishindwa kumdhibiti mtu mmoja kwa miaka yote hiyo na hawakumsema kwa wananchi mpaka ameondoka mwenyewe ndo ccm wanaanza kuweweseka,sasa wataweza kudhibiti tatizo la rushwa,ukosefu wa...
  2. M

    Huyu ndiye Edward Lowassa

    Kama kweli lowasa amefanya yote haya akiwa ndani ya ccm basi wenye akili hawana haja ya kuiami ccm.kama ccm ilishindwa kumdhibiti mtu mmoja kwa miaka yote hiyo na hawakumsema kwa wananchi mpaka ameondoka mwenyewe ndo ccm wanaanza kuweweseka,sasa wataweza kudhibiti tatizo la rushwa,ukosefu wa...
  3. M

    Maamuzi ya CHADEMA Asilia

    wote wenye fikra kama zako hamkujua maana ya mabadiliko watanzania tunayoyataka.mabadiliko yanayotakiwa hapa si ya watu bali ni ya mfumo. mfumo mbovu wa ccm ndo umezalisha richmond, eppa, escrow. hivyo hata aingie nani,katika mfumo mbovu wa ccm hakuna atakalo fanya. jitambue mambo...
  4. M

    Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania latoa tamko la kumuunga mkono Dr. Magufuli

    Ni wale wanafunzi ambao baba zao ni waneemeka wa ccm na wasiojitambua.ila sie walala hoi na tunaojitambua hatuko huko kwenye li ccm
  5. M

    Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli viwanja vya Majimaji, Songea

    Katika kampeni zake zinazoendelea sasa magufuli amesema akichaguliwa atahakikisha wakulima hawakopwi mazao yao na serikali kama ilivyo sasa badala yake wakulima watakopeshwa na serikali.atajenga viwanda ili kuongeza ajira kwa vijana.atahakikisha mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inapatikana...
  6. M

    Myahudi wa kwanza kuswalisha Waislam

    Ni aibu na fedheha kwa kijana wa kitanzania kupinga mabadiliko wakati yeye mwenyewe hana ajira ya uhakika.wazazi wake,ndugu zake na jamaa zake jembe la mkono likiwa limewang'ang'aniamikononi tangu uhuru wa nchi hii.nasema ni aibu kwa kijana kupinga mabadiliko huku macho yake yakiona watanzania...
  7. M

    Bomu wanalotumia chadema likimkosa adui litawawaliza wenyewe

    Chadema wameamua kuwatumia baadhi ya makada waliokuwa ccm waliokihama chama hicho kwa kuwaweka mstari wa mbele ili kuiangamiza ccm.hii ni mbinu nzuri kwa upande mmoja kwani watu hawa watakuwa wakipigana vita na adui wanayemjua vizuri sana.wanajua mbinu zake,silaha zake na maficho yake.lakini...
  8. M

    Magufuri apokelewa na mashehe Chalinze

    halafu nimekumbuka.hawa si waliendaga na dodoma kumshawishi lowasa agombee urais? Inamaana hawajasikia kuwa atagombea sasa?
  9. M

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Mfano ulotumia ni mfano usio sahihi katika siasa.mambo ya siasa ni tofauti kabisa na mambo ya jeshi.katika siasa mkipambana sana mkaonekana pande zote zinanguvu za kulingana mnaweza unda serikali ya mseto.je hii ipo katika jeshi kwamba mmepigana vita na adui nguvu zikalingana muamue kuunda jeshi...
  10. M

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Ki ukweli ninamkubali sana magufuli katika utendaji wake lakini sitarajii kama atafanya kitu kipya akiwa chini ya ccm.ccm ni chama kilichojaa viongozi wengi legelege,wala rushwa na watoa rushwa,chama kisicho na maono thabiti ya taifa hili na kizazi kijacho.namtazama magufuli ni kama lita moja ya...
  11. M

    Bvr mwanza inaanza kwa vioja

    Hebu jitahidi kukusanya akili zako vizuri kama kijana mtanzania mzalendo ambaye nchi hii leo iko mikononi mwako ujiulize unaweza kutoa tangazo la nafasi ya kazi kwa masaa 24 katika kazi yenye tija kama hii.jaribu kidogo kutoka nje ya box la chama ulimo upate fikra yakinifu
  12. M

    Bvr mwanza inaanza kwa vioja

    hebu watanzania wazelendo tupaze sauti zetu kwa nguvu serikali isikie itende haki juu ya jambo hili
  13. M

    Bvr mwanza inaanza kwa vioja

    Kweli kabisa.leo katika wilaya hiyo ya kwimba kunachanjo ya minyoo na kichocho jamii imetangaziwa wiki nzima tena kwa gari la matangazo na makaratasi yamebandikwa kila kona.jamii yote inatambua hilo.lakini ukiuliza wanaandikishwa lini hawajui.serikali sijui ina ajenda gani na zoezi hili
  14. M

    Bvr mwanza inaanza kwa vioja

    Ikiwa mkoa wa mwanza unajiandaa kuanza zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa mfumo wa bvr baadhi ya wilaya maandalizi yanafanywa katika hali inayotiashaka.jana na leo nimepita katika wilaya za misungwi na kwimba,nimeshangaa kuona maandalizi ya zoezi hili yanavyoendelea bila wananchi kuwekwa...
  15. M

    Nyalandu kupigana picha wakati bunge linaendelea ni sahihi?

    Ni sawa kabisa.wanachukua kumbukumbu za mwisho za kuweka kwenye album zao za kuwaonesha vijukuu na vitukuu kuwa walikuwaga bungeni maana hili ndo bunge lao la mwisho kwani watakuwa wanaliona kwa nje tu.HAWARUDI HAO!
Back
Top Bottom