DR mahanga hana ubaguzi kama watu wachache wanavyofikiria, MMEONA WAPI WAZIRI BADO ANAISHI MAISHA PAMOJA NA WANASEGEREA, KUNA WATU JUZI WAMEPEWA UKUU WA WILAYA LEO WAKO MASAKI. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
[DR Makongoro ana taarifa, Mkandarasi aliyeboronga ujenzi barabara ya Kimanga ana kesi ya kujibu lakini hivi karibuni Mkandarasi mwingine ameteuliwa kuziba mashimo lakinik kabla hajaanza mvua zikanyesha kubwa. ameshindwa kuja hapo kuziba mashimo kwa sababu ya mvua. hakuna barabara yeyote duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.