watanzania bwana mbona ni tabia ya EL kujihusisha na shughuli za kijamii.juzi tuakiwa ccm alikua akishiriki ktk ujenzi wa makanisa misikiti n.k lakini mkaja na prapaganda kuwa anawanunua watu ameanza kampeni mapema mpaka ccm mmemfungia leo kama mgombea kiti cha urais anatembea kuona shida za...
oky ni hisia zko lakini kumbuka alipokua ccm alikua akishiriki ktk shughuli za jamii akisaidia shughuli mbali mbali kama ujenzi ya makanisa na misikiti.
Lakini tatizo letu watanzania ni wasahaulifu mno kwani alipo kuwa anafanya hivyo alifungiwa n ccm eti anafany kampeni oooo anatoa rushwa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.