Hivi watanzania mbona tunakuwa na fikra mbovu sana na wavivu wa kufikiri??asa gwaji boi alikuwa wap siku zote hizo kusema kuwa mondi alikuwa masony??na gwaji boi ni nany haswa mpaka awe anajua kila kichu cha mtu atakaemsema??so inamaanisha hata mm leo nikimsema gwaji probably atakuja kusema...
Vitu vingine baki navyo tuu haina haja ya kutuambia humu jf..
Au ndo mara yako ya kwnza kuchinja kuku bikra au cha ajabu ni kuwa demu mzuri kakosea namba eehh...
Let other thing be private with yourself.[emoji41]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.