yaani hata Mimi nimesubiri Sana lakini nilichofanya Ni kwamba nimekwenda Chuo ninachotaka kuhamia,Na uzuri Chuo hicho huwa wanawasiliana Na TCU Na kuwaomba kuwa Kuna wanafunzi kadhaa namba zao Fulani,wamechaguliwa Chuo Fulani,kozi Fulani,ufaulu Wao Fulani,Na wanataka kuhamia Chuo hiki...