Recent content by MJOMBA KALOKOLA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lema amvaa Mkapa, yeye (Mkapa) ajitetea...

    Kusema wabakaji, wezi nk. Watoke gerezan,!!!? unatarajia nini kwa hawa waliotendwa. Ndo mwanzo wa kuuana coz huwezijua jamii itampokeaje na yeye atakuja na mtazamo gani. Tusiwe bendera tufate upepo, eti kisa hoja imetolewa na mtu wa chama unachokipenda.
Back
Top Bottom