Habari wana jamii nahitaji supplier wa hii miti ni micharaka inaitwa au mkambara nahitaji PC 8000 location bagamoyo kidomole kila PC ntalipia 3000 namba zangu 0658009530
Imekuwa ni kawaida pindi niendapo kwenye hospitali zetu hasa hizi za wilaya hapa namaanisha palestina iliyopo sinza imekuwa ni kawaida daktari kusikiliza tatizo lako na kukutamkia unahela nkupe dawa wakati duka la dawa lipo nje na kuna matangazo mengi kuwa usilipe bila stakabadhi je hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.