Recent content by Mjengajiafya

  1. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Yatatokea haya kwenye mwili wako utakapoanza kufanya mazoezi

    Mazoezi ya kila mara na shughuli za kimwili za kila siku hudumisha msukumo wa kawaida wa damu na hudhibiti kisukari. Shughuli za kimwili huondoa hatari ya kisukari, na msukumo wa juu wa damu hivyo basi kupunguza hatari ya ugonjwa sugu wa figo. Fanya mazoezi at least mara 3 kwa wiki Your...
  2. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kufanya mapenzi, Nikijaribu kuanza uume unasinyaa

    Fact zipo hapa
  3. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya tumbo baada ya kuweka Kitanzi

    Inawezekana homoni zimeshavurugika kacheki hospital walikokuweka
  4. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Zijue kiundani dalili za kuwa na sumu nyingi mwilini na madhara yake

    Njia za kuondoa sumuu hizi jamani nani kazitumiaaa maana nimepata mrejesho mzuri sanaaaa kumbe watu wanasoma af wanatulia wanajaribu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji817]
  5. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Zijue kiundani dalili za kuwa na sumu nyingi mwilini na madhara yake

    King kong Chuma nimeziweka hapo
  6. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Zijue kiundani dalili za kuwa na sumu nyingi mwilini na madhara yake

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  7. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufahamu ugonjwa wa Bawasiri

    BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE} [emoji1428] Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kupelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa. CHANZO CHA BAWASIRI [emoji2389] Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva. [emoji2390] Tatizo...
  8. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Faida za uyoga kwa Binadamu

    Kitu tunaposema ajabu ni kitu flani ambacho kinashitusha watu ndomana hapo wengine wameanza kusema nisumu kwasababu hawajui kwaiyo inaonekana kwao mi ajabu au maajabu " kitu flani watu wasichokijua au kisichoonekana kuwa chakawaida"
  9. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Zijue kiundani dalili za kuwa na sumu nyingi mwilini na madhara yake

    Nyongeza katika hii detox program, weka maji lita moja asubuh yapashe weka ndimu tumia kunywa kabla yakula chochote inasaidia sanaa tumia kila siku
  10. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    An 8-ounce (230-ml) cup of green tea contains between 30 and 50 mg of caffeine. The recommended maximum amount of caffeine per day is 400 mg, Kiwango Nikidogo sana haiwezi kupandisha pressure ya mtu , ila Coffee yakawaida ndo inaongeza pressure, Green tea ishafanyiwa research na imeonekana...
  11. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Daily consumption of 5-6 cups of green tea could result in reductions in systolic blood pressure, total cholesterol, and LDL cholesterol.
  12. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Analysis of clinical research shows that green tea can reduce systolic blood pressure (the top number) by up to 3.2 mmHg and diastolic blood pressure (the bottom number) by up to 3.4 mmHg in people with or without high blood pressure.
  13. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Pole kama hapo tumia supplements zilizo na green tea zitakusaidia na za mzunguko wadamu zinazoweza kutoa Bad Cholesterol LDL (low density lipoprotein) kwenye mishipa ili damu iweze kufloor vizuri na pressure itakuwa sawa kabisa. Kama Hauna Access yakuzipata Piga nikuelekeze kwakuzipata 0657 744 363
  14. Mjengajiafya

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu juu bega la kushoto katika maungio

    Tumia Arthroxtra na Coolroll au Gluzo Joints na Cooroll
Back
Top Bottom