acha uwongo wewe uliwaona hao makamishna walipovutana mashati? na humo kwenye tume huyo mwenye kiti aliwaona peke hao makamishna wakipigana? na hayo malalamiko yalipelekwa cku ya tarehe 26 uchaguzi ulishakamilika na matokeo yameshaanza kutolewa. na kama tume ilikaa
na kukubaliana na malalamiko...
samahani sana ndugu nahisi uzito sana kukwambia neno hili lakini nahisi sitaitendea haki nafsi na wazanzibari pia. naomba kwaheshima kabisa nikwambie kuwa wewe una matatizo ya akili na unatakiwa uende hospitali kupata matibabu haraka sana ili hali isijekuwa mbaya.naomba kuwasilisha
sumaye ndio anaefaa kuaminisha watu kuwa ccm imechoka kwa sababu aliye ndani ya ndoa ndiye anaefaham matatizo ya ndoa hiyo. kwa hivyo sumaye anatuambia kuwa ccm imechoka na imeshapoteza muelekeo ni rahisi kuamini coz yeye alikua ndani ya hiyo ccm. kwa upande wa kuinadi ilani chadema ni bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.