Recent content by MJASIRIA MALI

  1. M

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Hebu tufafanulie wanajamvi hiyo sakata , ndo tunasikia mkuu. Ila jina lipo kwenye lisit hii.
  2. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Kama swali la Aweda liko nje ya mada wewe urudiage shule tu. Hanaga namna nyingine ya kukusaidia.
  3. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Ni kweli aligeuza marais wa nchi hiyo. Rais aliyestaafu alimtaja kama rais wa sasa na Rasi wa sasa akamtaja kama Rais mstaafu.
  4. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Kwangu mimi kampeni ya 2015 siyo tatizo, tatizo langu ni uhai wake kabla ya 2015 utakuwa salama kwa mwendo huu. Ubunge si haki yake ya kikatiba. Ndo maana nikashauri apunguze kasi. Wanaweza wakamLWAKATARE AU kumbambikia kesi tesha kama akina Kileo na wenzake.
  5. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Hivi akina Dr Slaa, Mnyika, Lema, Msigwa, hawa akina Ben Saanane na Mikael Aweda wanaoibukia wakiwa waoga kama wewe, nchi hii si itauzwa jumla?
  6. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Mbulu au Hapa hapa Dar? Aweda si mwenyekiti wa Jimbo mmojawapo hapa Dar?
  7. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Yule mzuri mweusi kidogo jina la pili anaitwa Cosmas, wadada wako 2 tu. Siyo fatma Almasi Nyangasa. Mara nyingi yuko Redio one.
  8. M

    Kufurika viongozi wafanyabiashara CHADEMA; hii ina jenga picha gani kwa chama?

    Hawa ndio wana ccm ambao siyo matajiri, Yusuf Manji, Naziri karamangi, Mbunge wa Rorya airo, Mbunge wa babati vijijini, Kinana - mwizi wa pembe za ndovu. wabunge kibao, mawaziri kibao. Huna aibu.
  9. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Jana Aweda alinifurahisha sana kwenye ile kipindi yao ya malumbano ya hoja ya kwenye ITV kuliko mtu mwingine yeyote. Mada ilikuwa inasema, MADAWA YA KULEVYA KUANGAMIZA VIJANA WETU NA WATANZANIA, NINI KIFANYIKE? Kamanda wangu Aweda aliibua bifu la Reginald Mengi na Godrefy Nzowa. Nzowa alikuwa...
Back
Top Bottom