Mimi katika kazi zangu hata ya kizibua vyoo, Makonda ana mapungufu yake tena sana ila ni kiongozi safi sana na mimi natabiri atakuja kuwa mkubwa sana.
Nape hata kama ningekuwa Rais angenisaidia kufuta vumbi. Fanya chochote nipo upande wa Jemedari.
Ni mtendaji mzuri sana ila mm nahisi uligusa pabaya sana ila nakuamini na unataka kuweka hadharani ndio imekutoa hapo ulipo songa mbele hakuna upinzani ila ni ndani ya Ccm
Kaka mkubwa sawa ila kwa kauli ya mshikaji sio ni ya kudharirisha Chama Ile ni taasisi kubwa sana na wakifumbia macho itawatafuna sana kama Raisi wa nchi yetu ameliona Chama inatakiwa kiangalie kwa jicho kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.