Tamko linadai kuwa ilitumika nguvu ya wastani. Swali la kujiuliza, nguvu ya wastani kumtoa mtu kwenye gari kisha kumvunja mkono na mwingine unafanyia gwaride juu ya mgongo wake. Kwanini usiende hata chuo cha uongo ili uongo wako uendane na ukweli japo kidogo?
Maendeleo hayana vyama.
Katika kuthibitisha hoja hiyo, nitafanya rejea kesi ya Mbowe na wenzake.
UTHIBITISHO WA I
Kesi iliyodumu zaidi ya miaka miwili na hukumu yake yenye urefu wa kusomwa masaa 4 aliweza kuchambua ushahidi wa mashahidi wote, kutafuta kesi za rejea na kufanikiwa kuiandika yote katika masaa 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.