Recent content by miyamoja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lissu na hatima ya nchi yetu

    Watu wengi ndani na nje ya nchi yetu,wasomi mbalimbali,Bunge la ulaya, viongozi wa kisasa kule marekani,na sasa jumuia ya madola,wote wameshauri Tundu Lissu atoke gerezani.wote wanajua kesi iko mahakamani, lakini bado wameshauri Lissu atoke. Kwanini?Inawezekanaje watu wote hawa wawe hapana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha serikali kutuma ujumbe wake kwa Papa Vatican kiwe ni ujumbe kwenu kanisa Katoliki Tanzania

    Mabishano na matusi hayana maana yoyote na hayawezi kubadilisha kitu.Wote tunajua kulikuwa na machafuko na vifo vilitokea,kumbe cha maana zaidi ni kuponya taifa kama Rais anavyoendelea kufanya,na pili ni kuweka misingi upya Ili yasijetokea tena. 2030 sio mbali.Acheni ushabiki na uchawa kuharibu...
Back
Top Bottom