Recent content by Miunda

  1. Miunda

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Njiwa mkuu anafika mpaka 1 milion huko Zanzibar.. njiwa wa arabuni.. kila design
  2. Miunda

    Kuku kuchi hawa ni original?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Miunda

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Kuchi mpaka 500,000 mkuu
  4. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Kwa Kiswahili.
  5. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Si tutoe jina tu wenyewe hapa , kila mmoja apendekeze [emoji16][emoji16]
  7. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Hapana , Zanzibar wapo zaidi ya miaka 60 na walikuwa wanamilikiwa na watu Bi nafsi na mpka muda huu wapo walio miliki na Nina wafahamu, ispokuwa wanyama hawa miaka mingi wameshindwa kuendelezwa kutokana na urasimu. Kama ni nyara za serikali basi hata huko nje ingekuwa ni vigumu kusafirisha hawa...
  8. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Nyara za serikali ni wanyama wa misitu, hawa hisio wanyama wa misitu.
  9. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Magogoni kwa nani [emoji2]
  10. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Ndio nani
  11. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Aina hizi wapo Tanzania?
  12. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Ndio nipo kwenye researche mkuu nataka nilete hizi mbegu..
  13. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Mbegu zipo , nitakutafuta Insha Allah
  14. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Ni aina kama ya tausi wanaonekana
  15. Miunda

    Ndege aina hii wanaitwaje?

    Kwa Kiswahili tuwaiteje? Maana kama sio hii korona nisingejua face mask kama ni barakoa [emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom