Recent content by Mithros

  1. Mithros

    Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    Nadhani conclusion yangu ndivyo inavyosema.
  2. Mithros

    Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    Sipingi kuwa na pesa. Kila mtu analitaka hilo. Point yangu ni uwe na furaha na jinsi unavyopata pesa zako na vile unavyozitumia.
  3. Mithros

    Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    😮😊 Main theme ya uzi sio kumzuia asiwe zaidi ya wengine. Ni kumsaidia atafute passion. Then anaweza taka awe best, hapo ni sahihi kama haimpi stress na anafuraha. Kwa point of view yako ni sawa na kumchukua Bill Gates na kujaribu kumfanya awe best kwenye mpira wa miguu na sio passion yake...
  4. Mithros

    Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    Sababu ya kuandika huu uzi ni kumsaidia mwanao asiwe kama wewe. Kudhani kuwa furaha inatokea wallet ikivimba.
  5. Mithros

    Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    Nakuelewa na naomba nisiwe misquoted. Sio vibaya kuwa na Benz, kama unao uwezo waweza kuwa nayo as long as utakuwa na furaha na sio kuonekana una Benz. Kuna kuishi na kupretend unaishi....mambo mawili tofauti.
  6. Mithros

    Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    Habari wana JF, natumaini mtakuwa wazima. Hili litakuwa chapisho langu la kwanza humu jukwaani na ningependa kuongelea kuhusu impact ya hayo mambo mawili( furaha na utajiri) kwenye saikolojia ya mwanao. Kwanza nitatanguliza kisa hiki; Nina rafiki yangu wa kitambo mno---nadhani toka tunasoma...
Back
Top Bottom