Nachoelewa ni Unamchukia Magufuli hadi kwenye mifupa yako.Hujawahi kuwa Positive kwa swala lolote la Magufuli. Huna unachofaham jinsi gani mtandao ulikua unafanya kazi.Makonda ni Waziri,Siro ni RC.Kuna mambo yako juu ya uwezo wako, kwa chuki zako huwezi kuelewa. Just imagine IGP Siro ndio alikua...
Siku ya uchaguzi itakua siku ya mapumziko, wengi watakua nyumbani nyuma ya keyboard wakifuatilia yanaendelea kwenye uchaguzi. Serikali itajaza polisi kila kona,Chadema nao watakua busy kuhakikisha wanaandamana. Kwa hofu ya usalama, HAKUNA RAIA ataenda kupanga foleni na kupiga kura na mwisho...
Ukitangaza maandamano siku ya kupiga kura maana yake siku hiyo wengi hawatatokea kupiga kura kuogopa vurugu.Polisi badala ya kulinda vituo vya kura watakua busy kupambana na waaandamanaji. Automatically uchaguzi hautafanyika.Sijui kama kuna mwenye akili TIMAMU ataenda kupanga foleni katikati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.