Usijali, unaweza nicheki pm pia au email mistaritz@gmail.com
Kesho nita upload melody yake. Sema uimbaji ndo tatizo kwangu . Ila nimejitaidi kadri ya uwezo wangu.
Mimi ninaandika nyimbo. Ningependa pata mtu wakuimba.
Huo nimfano wamashairi niliyoandika. Ukipenda kwenda studio ku record hakuna tatizo ni free kabisa.
Natumaini umenielewa kiongozi.
Habari zahumu ndani. moja kwa moja kwenye point. Mimi nimwandishi/mtunzi wa nyimbo najambo hili nalipenda sana, huwa naandika nyimbo kwa muda wangu waziada.
Ningelipenda pata mtu/ watu watakao imba mashairi yangu, nayatoa bure kabisa. Maishairi yangu naandika juu ya beats ninazozikuta Youtube...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.