Huwa muda mwingine nafanya hivyo Somji huwa tunachat na kupigiana simu usiku, na anapokuja kwangu sio mtu wa kuficha ficha simu, huwa anaziacha mezan na muda mwingine simu yake ikiita huwa ananiambia niangalie ni nani
Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba?
Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila nikimwomba anipeleke ama anielekeze nikapajue anapokaa hataki ni mwaka umepita sasa sipajui kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.