Recent content by miss pablo

  1. miss pablo

    Zaidi ya Vijana 100 waondoka kwenye mradi wa BBT, sababu yadaiwa hakuna uelekeo

    Maskini rafiki yangu Hemed. Msalaba wote umemuangukia[emoji25]
  2. miss pablo

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Hahah nami nilipangiwa shule sijui inaitwa ifakara girls iko ndani ndani huko. Siku ya shamba nasikia jina langu lilusimwa nipangiwr mistari yangu ya kulima
  3. miss pablo

    TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

    Ila watu husema wasiyoyajua. Juzi niliona uzi twitter ukitoa sababu za tren kuhujumiwa. I laughed hard. Ni kwasababu hakujua kama kichwa cha treni ndo sababu ya kuchelewa na kilikuwepo bandarini tayari ila kuclear ndo ilikua bado. Sameways na watu walipokua wakinanga escape from sobibo. Tatizo...
  4. miss pablo

    Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

    Na maduka ya sinza, knyama, kino, survey na makumbusho kuna wadada ni wameweka viofisi vyao kwaajili ya kudangia hasa kwaajili ya jioni wazee wanapotoka makazini wakipita njia basi na wadangaji wanajianika huko nje ya viduka na frem zao
  5. miss pablo

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    Umesoma kweli alichoandika jamaa? Hahaha
  6. miss pablo

    Hivi viongozi wangu haya makaa ya mawe mnayoyasafirisha kwenda India kwamba mmekosa njia mbadala na upeo wenu umeishia hapo?

    Kumbe kuna viongozi ndani yake? Ila hakuna linaloshindikanikaga. Halaf wanakuja kututukana vijana
  7. miss pablo

    Hivi viongozi wangu haya makaa ya mawe mnayoyasafirisha kwenda India kwamba mmekosa njia mbadala na upeo wenu umeishia hapo?

    Ila jamani kuna mambo yanaumiza. Hivi inakuaje maakaa ni yetu lakini wakenya ndo wanayauza? Hizi lorry za Maulid Swai ndo zinapakiaga sana kupitia boda ya tarakea. Ni nyingi mno. Yaani kwamba sisi tulishindwa kbs kwenda kylutafuta tenda? Hivi kwamfano tukiwagomea kuwauzia hao jamaa utakuaje...
  8. miss pablo

    Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Kawe pamezidi. Vijana wamekua wa hovyo sana. Mbali na kwamba kanali alikosa busar naomba usafi ufanyike. Pasafishike. Matukio mabaya na maovu mengi sana yanatendeka usiku kwa mchana
  9. miss pablo

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Point hapo ni mtoto mpya atarithi kwa baba yake na basi. Nyumba na mali zingine hazimuhusu. Full stop.
  10. miss pablo

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Hiyo mimba si ina baba yake? Mali hazimuhusu. Aipeleke mimba kwa mhusika nyumba aachie watoto wa marehemu. Mbona kila kitu kipo wazi
  11. miss pablo

    Kesi ya mjane wa Bilionea Msuya ngoma nzito

    Hakika nimemchukia sana huyu mama
Back
Top Bottom