Search results

  1. miss pablo

    Zaidi ya Vijana 100 waondoka kwenye mradi wa BBT, sababu yadaiwa hakuna uelekeo

    Maskini rafiki yangu Hemed. Msalaba wote umemuangukia[emoji25]
  2. miss pablo

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Hahah nami nilipangiwa shule sijui inaitwa ifakara girls iko ndani ndani huko. Siku ya shamba nasikia jina langu lilusimwa nipangiwr mistari yangu ya kulima
  3. miss pablo

    TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

    Ila watu husema wasiyoyajua. Juzi niliona uzi twitter ukitoa sababu za tren kuhujumiwa. I laughed hard. Ni kwasababu hakujua kama kichwa cha treni ndo sababu ya kuchelewa na kilikuwepo bandarini tayari ila kuclear ndo ilikua bado. Sameways na watu walipokua wakinanga escape from sobibo. Tatizo...
  4. miss pablo

    Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

    Na maduka ya sinza, knyama, kino, survey na makumbusho kuna wadada ni wameweka viofisi vyao kwaajili ya kudangia hasa kwaajili ya jioni wazee wanapotoka makazini wakipita njia basi na wadangaji wanajianika huko nje ya viduka na frem zao
  5. miss pablo

    Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

    Umesoma kweli alichoandika jamaa? Hahaha
  6. miss pablo

    Hivi viongozi wangu haya makaa ya mawe mnayoyasafirisha kwenda India kwamba mmekosa njia mbadala na upeo wenu umeishia hapo?

    Kumbe kuna viongozi ndani yake? Ila hakuna linaloshindikanikaga. Halaf wanakuja kututukana vijana
  7. miss pablo

    Hivi viongozi wangu haya makaa ya mawe mnayoyasafirisha kwenda India kwamba mmekosa njia mbadala na upeo wenu umeishia hapo?

    Ila jamani kuna mambo yanaumiza. Hivi inakuaje maakaa ni yetu lakini wakenya ndo wanayauza? Hizi lorry za Maulid Swai ndo zinapakiaga sana kupitia boda ya tarakea. Ni nyingi mno. Yaani kwamba sisi tulishindwa kbs kwenda kylutafuta tenda? Hivi kwamfano tukiwagomea kuwauzia hao jamaa utakuaje...
  8. miss pablo

    Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Kawe pamezidi. Vijana wamekua wa hovyo sana. Mbali na kwamba kanali alikosa busar naomba usafi ufanyike. Pasafishike. Matukio mabaya na maovu mengi sana yanatendeka usiku kwa mchana
  9. miss pablo

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Point hapo ni mtoto mpya atarithi kwa baba yake na basi. Nyumba na mali zingine hazimuhusu. Full stop.
  10. miss pablo

    Sheria Inasemaje kuhusu Mirathi, Mjane akizaa mtoto nje ya wale wa Ndoa?

    Hiyo mimba si ina baba yake? Mali hazimuhusu. Aipeleke mimba kwa mhusika nyumba aachie watoto wa marehemu. Mbona kila kitu kipo wazi
  11. miss pablo

    Kesi ya mjane wa Bilionea Msuya ngoma nzito

    Hakika nimemchukia sana huyu mama
  12. miss pablo

    Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

    Wazenji wana kibri sana aisee. Sana sana sana. Ma fei alikia akijazwa ujinga na watu wasiojua hata sheria za mpira
  13. miss pablo

    Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

    Aaah wapi. Hana mapenzi yoyote yale. Zaidi tu anatamani sana atufunge ili aongee na kutugambia. Anapaniaga sana mwishowe anagongwa. Siku akatufunga itakua taabu sana
  14. miss pablo

    Pombe ya Banana yawamaliza vijana Kilimanjaro

    Binafsi i dont encourage pombe. Na siipendi. Inaumiza sana Mtu akipata pesa tu anawaza kutengeneza kitu kitakachompatia pesa yeye na hajali afya za wenzake.
  15. miss pablo

    Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

    Mkuu, sijawahi ona watu wanali wakiwa safarini na msiba. Huwa kuna maeneo nyeti watu hulia kama wamuinapo marehemu, wakiwa wanaaga ama ile wanaingia nyumbani na marehemu. Kwenye magari watu wanKulaga gambe tu.
  16. miss pablo

    Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

    Nilicommwnt tena jioni ya saa 10.amefanya jambo jema kuifuta. Uchonganishi wa kimama tu. Akifukuzwa kazi ndo watajisikia raha? Huyo mtoa taarifa ana umama sana
Back
Top Bottom