ndugu yangu ktk hili makosa ni yangu kwani wakati tunaanza mahusiano kabla hata yakupenziana aliniuliza sana juu ya hili lakn nilikataa sana. alinisihi nimwambie hata kama nilifanya kwa bahati mbaya au kwa kulazmishwa but niligoma. na akasema pia yeye anazngatia uaminifu kama siwez uaminifu...
yaan ungejua kwa sasa navoogopa na kujuta kwa nini nilienda kwa waganga ndg yangu usngema. kwanza nkienda kurudi tu jamaa anahadisia yote yalofanyika huko, na adai kwamwe waganga hawatanisaidia na waganga na yeye ni wapnzan had anakufa. niliogopa sana.
jaman sikutumia kiziz. kuenda kwa waganga kulitokana na kuchanganyikiwa tu na hofu ya kuvunjika ndoa yangu, nisamehdn bure waungwana nahisi nimemzasiri mwanaume mwenzenu
mimi jaman huyu mwanaume nahisi mapenz aliyaanzia kwangu yaana nimedodosa na kumtega kwa kumia namba zngne lakn mkaka wa watu ni hakuna udanganyifu kwenye ndoa. najuta kwa nini ckukutana naye kabla ya kutoa mimba. mungu wangu naomba unisamehe.
Niko ndani ya ndoa ni miaka miwili na tuna mtoto ana mwaka na robo. Mme wangu ni mstaarabu sana hivyo nampenda, ndoa inapotea hivi: Mme wangu amegundua kuwa nishatoa mimba kabla ya kuwa nae na nilimpa ukweli huo baada ya kuniuliza, jambo hili limefanya mapenzi yake kwangu kuwa ziro.
Nimejaribu...
wanajukwaa nawasalimu kwa iman zenu.
nimeshangaa sana leo nilipokutana na mwalimu wa cheti ktk mazungumzo nijikuta namuuliza "hivi tanganyika ilikuwa jamhuri tangu lini?" majibu yake yakawa hivi "ilikuwa 1964 bwana" nilisituka sana hii elimu ya kibongo inaelekea wap kama mwalimu hajui mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.