Recent content by miss nyanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapito (Sehemu ya 1)

    Hapo umedanganya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapito (Sehemu ya 1)

    MAPITO (Sehemu ya Pili) Ilipoishia.. Nakumbuka Nina siku tatu Toka nitoke uzazi,alikuja na akaniambia ana habari Nzuri za kuniekeza nikafurahi nilichoelezwa... Ananiambia unajua Kuna dada tulikuwa tunapendana Mimi naitikia tu eeh yaani hapo ninatamani nimpige hata mabanzi au hata nimrukie...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapito (Sehemu ya 1)

    Ya kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapito (Sehemu ya 1)

    Nimekaa kwenye ofisi na siyo ofisi ndogo,ofisi kubwa sana,Tena ninaimiliki mwenyewe iliyosheheni furniture za thamani na kila kitu nilichokuwa nakitamani muda wote wa maisha yangu,ninayo Amani ya moyo na ninaona Nina kila kitu ambacho niliomba muda wote kwa Mungu wangu yaani kiufupi...
Back
Top Bottom