Recent content by Miss Namiraty

  1. Miss Namiraty

    Utunzaji wa nywele za asili

    Unaeza funga mtandio mzito fo joto. And ukiosha na shampoo 3* haruf inapungua. Ukpaka na mfuta inakaa sawa
  2. Miss Namiraty

    Ujenzi wa nyumba na ukubwawa kiwanja utakaohitajika

    Habari za sasa hivi, Nauliza ukitaka kujenga nyumba kubwa ya vyumba kama 6 ila vitatu ni masters, na dining na public toilet, jiko pamoja na sitting room. Pia nje kuwe na sehemu ya magari. Kwa nyumba ya ukubwa huo nitatumia hekari ngapi?
Back
Top Bottom