Recent content by Miss Makandana

  1. Miss Makandana

    GE2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

    Gwajima anafaa kuwa mbunge wa Kawe na anaweza kutuongoza wananchi wa Kawe
  2. Miss Makandana

    GE2020 Kawe: Halima Mdee alalamikiwa kukiuka maadili ya uchaguzi kwa kutumia lugha ya matusi na kashfa

    Kweli halima unakauli chafu sana na unafanya hata wale tuliokuwa tunakuheshimu hatutakuheshimu tena
  3. Miss Makandana

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Halima umejua leo kama kawe inastahili heshima baada ya miaka kumi [emoji1787][emoji1787] umechelewa sasa hivi tunaenda na Gwajima hata ufanyeje wanaKawe hatutabadilisha msimamo wetu
  4. Miss Makandana

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Kwa sasa wanaKawe tunahitaji mtu atakaye tuwakilishia kero zetu na zikatekelezwa
  5. Miss Makandana

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Lazima tumchague Gwajima maana wanaKawe tushachoka na kero tulizonazo kwa miaka mingi sasa imetosha tunataka maendeleo na mabadiliko
  6. Miss Makandana

    GE2020 Kawe ina heshima tayari, inahitaji maendeleo

    Halima mdee hafai tena Kawe maana hajafanya chochote kwa miaka kumi
  7. Miss Makandana

    GE2020 Wana Kawe kataeni mateso mengine ya miaka 5

    Mimi nitamchagua Gwajima maana siko tayari kutapeliwa tena katika maendeleo
  8. Miss Makandana

    GE2020 Wana Kawe kataeni mateso mengine ya miaka 5

    Kweli kabisa na hatutafanya makosa katika uchaguzi huu maana hatuko tayari kuwa katika mateso tena
  9. Miss Makandana

    GE2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

    Mbona topic zako zinajirudia ukiona hivyo juwa kiwa huna jipya duniani na ahela mbora ukuf...
  10. Miss Makandana

    GE2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

    Gwajima anafaa Kawe na wana kawe tumemkubali Gwajima
  11. Miss Makandana

    Gwajima Unaikumbuka hii? Sasa nawe Ukikerwa utasemaje?

    Sasa unatakaje chariiiii bora ulale tu maana huna kitu sasa
Back
Top Bottom