wanaume tafadhali naombeni mawazo yenu ili nimsaidie mdogo wangu ushauri,hili mana mnaweza kuwa na mawazo ambayo ya ukweli mwingi zaidi,
Hivi kweli ukiwa umekaa katika uhysiano kwa miaka 6 without a legal marriage, na kubahatika kupata mtoto, lakini kila unapomweleza mwenzako kuhusu kufunga ndoa...