Recent content by mishalemishale

  1. M

    Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Ndugu zangu, mimi nafikiri huu ndiyo muda pekee wa kushikamana pamoja kama opposition kuliko muda mwingine wowote. the time we have been waiting for many years has now come. Chonde chonde oposition shikamaneni ajenda ni moja tu, kuiondoa CCM madarakani hapo October, bila kuwa pamoja hii itakuwa...
  2. M

    Burundi in great crisis! World must take action quickly

    Jamani acheni utani!!!, Bujumbura hali ni tete, wananchi wnegi wnauawa kama kuku kila kukicha. Jumuia ya KIMATAIFA ichukue hatua.
  3. M

    UKAWA hatarini kumpoteza Mgombea Urais kabla ya Oktoba 2015

    MACCM hawana jipya sasa wanatapa tapa, Mbowe kaza uzi, October siyo mbali
Back
Top Bottom