Recent content by mirrowswai

  1. M

    Neno mswahili wewe unalitafsiri vipi?

    Mtu muongo muongo asiye muaminifu, hatimizi ahadi aliyosema kiufupi ni kwamba anaongea vitu ambavyo anajua kabisa anadanganya na wala hawazi wala kuchoka kudanganya.
  2. M

    Nitagombea Ubunge Jimbo atakalogombea Dr Tulia", Sugu ujue Watanzania siyo Wajinga!

    Kwaiyo kuna watu wameshapata mashaka mpaka wanaomba jimbo ligawanywe? Tukiendelea hivi miaka ijayo kila kijiji kitakua ni jimbo sasa ili wapeane nafasi za kwenda bungeni.
Back
Top Bottom