There are alot of factors that can make you to attain the state which you're in daydreaming & govt control all those variables...anyway maintain your insanity dada
Shida mkuu hujasoma ..yani ni afadhali mbuzi....kila kitu serikali inaingilia..kwanzia kwenda kufanya KAZI nilazima iamuwe employment rate...kupata hiyo bia moja nilazima bei yamwisho uijuwe baada ya Kodi ... anyway hutanielewa kwasababu ulizaliwa kama hasara kwenye jamii
1.Kwanza nikiri nimekosea kutumia CCM haikupendi tena ila umejilazimisha na kujipendekeza mda mrefu kwa CCM ila hakupendi wanapenda watu kama wakina Magoti
2. Kweli kama hupendwi unamia Sana inakata kama vile Mwigulu aliumia Sana wataafu wanapigwi makofi yeye hakupigiwa au kushangiliwa
3. Acha...
Narudia Pascal umeona hupendwi tena na CCM, imeamua kupigiwa makofi na kuwashangilia watu kama wakina Magoti ...kwenye kisiasa inaumiza Sana kama hupendwi.Nakushukulu Sana kwa kuachana na uchawa.umekuwa unaishabikia mda wote ule CCM ila wanalamba teuzi kama huyo jamaa? Aseeee .liwalo na liliwe...
Ndiyo.
Kwa nini hata anaweza kufanya hivyo? Kwa sababu uhuru wa mawazo na wajibu wa kijamii humpa mwandishi nafasi ya kutafakari na kueleza mtazamo wake mradi tu afanye kwa busara, uadilifu na heshima kwa hisia za wengine.
Mimi nipo pamoja na Pascal hadi auwawe, hata ningekuwa Mimi ningekata tamaa ..kuishabikia CCM mda wote ule wanalamba teuzi wakina Magoti? Aseeee... Pascal ameona isiwe nongwa liwalo na liliwe ...ametangaza vita dhidi ya selikali haramu.
Udini unamsumbua ...Zitto alileta vurugu kule Kigoma baada yakupigwa chini na Baba Levo ..alikamatwa dakika mbili tu akaachiwa , lssa Ponda kwa mara kadhaa amemushambulia ndugu Samia ila hakuna siku moja akakamatwa...jiulize Gwajima au Father Kitima nini kikawapata.Akimuona Mh Lissu kwasasa...
Siwezi kushauliwa na mtu ndoa ilimshinda ..edelea kupongezana na wakina Chalamila kama vile wanajipongeza na bia moja.for your on information D9 tunaingia uwanjani full kujihami...vibabu vichaa kama nyie ingieni pangoni faster otherwise tar hiyo kifo ni kifo tu.Tumekuelewa Sisi Genz nivichaa
Mimi nahisi ile bahasha ili letwa na mpambe wa ndugu Samia pale mjengoni ili pigwa swap njiani inawezekana waziri mkuu aliteuliwa Abduli siunajuwa tena uhuni kwa rais wamawe ali piga intercept
Kama walijidanganya tutaomba msamaha bandae ila kwa sasa tuwadhuru ili tubaki madarakani ..it's too late ...mumemwaga damu lazima mungu aamue ugovi vinginevyo subirini #D9
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.