Recent content by miriam

  1. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    Mimi ni msichana ambaye nina elimu ya kidato cha nne pamoja na ujuzi wa kompyuta na nimesha fanya kazi ya u-typist lakini mkataba wangu ulisitishwa na kudhulumiwa haki zangu sikulipwa hata shilingi na hadi sasa nahangaikia malipo yangu. Naombeni jamani msaada wenu kupata kazi ili hata mimi...
Back
Top Bottom