Hapi si msaliti na ni kijana mchapakazi, istoshe pia ni kijana mwenye misimamo yake, hii inajionyesha kutokana na ngazi mbali mbali za uongoz ambazo hugombania na wale wanaompigia kura humchagua kwa kura nying tu, na hii inajionyesha pale nyota yake ya uongoz toka SHULE YA AWALI,SHULE YA...