Recent content by MIRABEL CRAWLY

  1. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Hamtupi hela ndo maana tunaomba! We toa tu hata kama hujaombwa ili isiwe kero kwako
  2. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

    Tumrudie Mungu!
  3. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mchumba mtu mzima

    We mwenyewe wa 2000 afu huwataki wenzio
  4. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

    sawaa naona umenifata na huku
  5. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

    Kwahiyo hakuna lugha maalumu itakayokuwepo? Lugha ni moja! Japo sijajua ni ipi Kuna sehemu walisema we will speak the holy language of the Angels.. Tutajua tukifika😅😅tumrudie mungu tu!
  6. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

    Tuta speak in tongue’s lkn tutakuwa tunaelewana
  7. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Ushasema mbagala😂 Unafikiri kote ndo hali iko ivyo??
  8. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Tupo nchi huru! Huwezi mpangia mtu kwenda sokoni
  9. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Na utaona Mengi
  10. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Endelea kukaza fuvu! Unadhani kama ww huendi asubuhi wote hawaendi
  11. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Lazima ushangae kama unakesha kulinda usiku! Watu wa asubuhi sokoni utawaonea wapi
  12. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Hata me Naona Unalinda na masoko yote Tanzania?? Ayaa Mkuu wa walinzi
  13. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Kwahyo unahisi na me nipo mbagala kama weweee! Afu nabishana na mwanaume sasa ambaye hata sokoni haendi😁😁 amezoea kijiweni vya sokoni atavijuaje
  14. MIRABEL CRAWLY

    JamiiForums Tanzania Hivi walinzi wa sokoni washawahi kununua vitu sokoni kweli?

    Au nikuulize labda asubuhi ni kuanzia muda gani hadi muda gani??? Naona unawaza ni saa kumi na mbili asubuhi tu
Back
Top Bottom