Recent content by miogopa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Duuuuh Maswaaali meeengi kuliko majibu pesa kwa ajili ya sadaka kwenye akaunti binafsi? je kanisa halina akaunti kwa ajili ya shughuli hiyo? ni kweli aliyoa kiuwazi? waumini walitangaziwa kwamba Bw. James ametoa msaada huo? Je fedha hizo zilienda wapi na lini? alitakiwa kwenye majibu yake aseme...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Ndugu yangu sintachoka kukuelimisha, ingawa najua ni vigumu kukiri ukweli hata kama unauona. Ulichotakiwa kujibu ni hoja zangu ulizoziita dhaifu badala ya kuquote hoja za watu wengine, hapo ndipo pananifanya nikuone huna hoja za kujibu. Kuhusu hoja yako ya ufugaji wa nguruwe, ninachokiongea hapa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    ndugu wadau nafikiri ni wakati muhimu wakujua mantiki ya maombi haya kabla ya kukurupuka. Mimi nafikiri ni muhimu kuwa na kipengele hicho kwanini. Sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo ya nchi kweli, tukumbuke kwamba maendeleo yanahusisha mambo mbali mbali mfano maendeleo ya mifugo ambayo ni...
Back
Top Bottom