mkuu kwa hiyo sisi jkt tutaitumikia kwa miaka yote ya advance [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], sawa mkuu cha msingi mm ntapiga msuli tu kama level yangu ya mwisho ya secondary.
Habari wana jf,
Matumaini yangu mu wazima wa afya. Mimi mwanafunzi niliyechaguliwa katika shule hiyo, naomba mwenye kuifahamu anijuze sehemu ilipo na mambo mengine kiujumla. Nimechaguliwa PCB
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.