Recent content by minja mgumu

  1. minja mgumu

    Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Hapo nikukomoana Sasa,tafuta kwa jasho man.vya ganda vina maneno maneno hasa bila mmi asingetoboa inaumaaaaa.....
  2. minja mgumu

    Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa,man kwanni unaona Kama hautendewi haki?.japo kwa picha ya baadae akiishiwa mshua atakutegemea kwa namna moja au nyingine.pia labda mshua amesha kuona unajitambia kishule chako,Sasa tumia kishule chako ku-money.
  3. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Embu tuoneshe wanavyo fanya uko marekani au tupe uzoefu ulio uona uko.mmi mchimbaj mdogo mdogo wamadini aina ya dhahabu.karibu nchi ya amani na upendo,ajira hazipo ila kazi zipo.
  4. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Mnengene:ahsante ndo nilicho fanya Vyumba viwili,Sebule,jiko,Vyumba vyote vina choo.
  5. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    thabit Karim;unacho kisema nakuelewa vzuri.niliwahi kwenda sehemu moja mpanda kijiji kinaitwa st maria nikakuta wananunua mpunga wanapeleka kahama.daah nikajifanya mtarii wa ndani nikaenda hadi kahama kupitia tabora kutokea Njia ya lumambo kahama daah.walikuwa wanaenda Mashineni wanakoboa alafu...
  6. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    BT:nimekaa mda nikiwaz cha kufanya ila Madogo ndo walinifikilisha sna,maana kodi yenyewe hadi hela irudi siyo leo.ndo maana siwazi kwahiki nilicho kifanya nimefumba macho kabisa.alafu naenda kukaza mgongo tena hadi 2024 December nitakuwa najua nachezea wapi?nimejipa miaka miwili ya kutesa Mwili tena
  7. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Ngapulila:mmi biashara ya magari hapana,kunawatu wanazijua hizo biashara ila siyo mmi.yupo mmoja aliuza mabasi yake mwanza akaenda mbeya kuwekeza kwenye mpunga.nikafatilia nikasikia Jamaa alisema kisa cha kufa mapema na presha yanni.ndo nasikia anaingiza hela kwa sasa kuliko kwenye magari alipo...
  8. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Tangantika:umenipa hongera ila ktk kipindi cha penati umepaisha na ndo unasema ndg.uzuri umekuja ktk kipindi kizuri pia,unakitu cha utofauti umekuja ninako waza ila nisaidie/tusaidie MADINI uliyo nayo pia ahsante.
  9. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Enkulu:habar ndg,unacho kisema hapa uko sawa kabisa.hadi sasa nimefanya ila ktk akili yangu nimesema haipo ktk hesabu zangu ila kwa walio toka ktk kiuno.maana siku moja niliwatoa wakasafishe macho,nikakaa pembeni najifanya nachezea simu nika waangalia madogooo...likaja wazo hivi nikikato moto...
  10. minja mgumu

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Habarini wana jf,nimerudi napambana bado.ila nilipitia ushauri wenu nikaamua kufanya ujenzi.na kurudi Mara nyingine kupambana tena.
Back
Top Bottom