Recent content by Minimini minimo

  1. Minimini minimo

    Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    2050 mambo yatakuwa mabaya tuombe mungu tuwe wazima...tunaweza tukasimlia chochote kitu😥
  2. Minimini minimo

    Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    unajisahau sana ...yavagae tu sisi redio tumeziwasha tunasubili uanze kutoataarifa tu
  3. Minimini minimo

    Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

    mtoto wako mdogo umeampaa simu aaangalie katuni YouTube unategemea nini mtoto wako mdogo umempa simu yako aangalie katuni YouTube unategemea nini?siumesema usiku ndo wanafanya ....? jitahidi utumie akili mabula ya kuongea
  4. Minimini minimo

    Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    hahahaaaahahhaahahahhahaha 😂😂😂😥😊🙂AHA
  5. Minimini minimo

    Hapa ndo pamenishinda ndugu zanguni. Ngoja nibaki tu na UPWIRU

    sikupingi ndugu your my role model Hapa jamii forum
  6. Minimini minimo

    Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

    jidanganye tu utawapa habari
  7. Minimini minimo

    Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    katika Kanuni alizoziweka mungu ukiaribu moja itaathiri na nyingine pia... nimemaliza
  8. Minimini minimo

    Wazungu wanatumia tishu tu kujiswafi wakiwa maliwatoni; Sasa mbona wanaongoza kulambana?!!!!

    ifike mahala tutumie akili na mdomo vizuri ....mawazo ya mtoa uzi ni finyu sana..aamuke akafanye kazi
  9. Minimini minimo

    Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

    ila njaa ni mbaya sana.....kila mtu alipewa figo yake asa kwanini utamani ya marehemu alafu uiuze 😀😀😀🤓aya bhana
  10. Minimini minimo

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Ila hii duniani bwana hatari sana.bwana Mkumbwa hata kama tukikupa ushauri tunamaliza mate tu....kiujumla mmeendana we ishi nae tu ....mmeelwana ni couple kali...
  11. Minimini minimo

    Meseji za Mapenzi za kumtoa nyoka pangoni..enjoy

    Tafuta hela kijana uache tantalila ....mapenzi bila pesa ni kelele ......trgehddhhhdhdrhehfhdhhdhndhddbrhfdhdhxhdgrdgdrhrjudvgdifntoeuyegvrydehruruhryryeveuefrhrrjfhufhrhfhhrheebrowceteyy2gehfy3u4u4riurh3yydu3u8t4brufhfyegvrhdyehegrhrjeurvdyvervhegeugddyeyuryt .....acha kelele
  12. Minimini minimo

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Fuvu kubwa akili ndio tatizo kaka jitahidi utafika
  13. Minimini minimo

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Baada ya mwaka....Ooh mi maskini sijala mara oooh nina laana hela sipati ......hela utoe na kaswende upewe kweli kazi ipo .....ila unajuhudi kijana pambana
  14. Minimini minimo

  15. Minimini minimo

Back
Top Bottom