Recent content by Minicooper1

  1. Minicooper1

    JamiiForums Vyuo kufungiwa mnatutesa maskini

    Inauma sana make watoto wanaachwa bila kujua cha kufanya pesa washakula watoto wanarud majumban na kuambiwa watafute vyuo vingine.
  2. Minicooper1

    JamiiForums Vyuo kufungiwa mnatutesa maskini

    Wakuu natanguliza salaam. Kiukweli hii tabia ya serikali kufungia vyuo hasa vya ngazi ya chini tunaoteseka ni sisi maskini. Unakuta mzazi amejichanga na kuweza kulipa ada ya chuo husika ndani ya mwezi mmoja chuo unasikia kimefungwa kwamba hakijakidhi sifa za kutoa fani husika ,mengi najiuliza...
Back
Top Bottom