Nimekumbuka sana kuna mzee alileta uzi hapa alikula huko miaka ya 70 na mpaka anasimulia anakumbuka hadi binti alikuwa amevaa nn....
Halafu kuna yule alikula kichaa......
Wewe ni kisa kipi cha mdau aliyekula kimasihara ambacho kilikuingia na hutakisahau
Hapo kuna sheria ya All or nothing lazima itumike.... ama uamue kumsamehe kwa kujifunza kusamehe na umsamehe yeye na rafiki yako ama dai talaka.... zaidi ya hapo utakayeumia ni wewe....
Hints
Msamaha ni muhimu zaidi kwako kuliko kwake... Unasamehe si kwa sababu ya yeye alivyo la hasha ni kwa...
Ukweli mkuu
Hakuna aliye salama kwenye mapenzi
Hakuna ambaye mapenzi hayajamnyoosha/hayatamnyoosha
Wengine wanasema na wengine wanaugulia kimya kimya....
Kuna idadi kubwa ya watu (wanaume kwa wanawake) waliobadilishwa na mapenzi na wakawa watu wa ajabu sana....
Unaweza ukaona mtoto wa mtu...
Huu uzi
1. Umewapa watu wachumba
2. Umewapa watu watoto
3. Umewasaidia madomo zege nao wakapata mbinu za kula
4. Umewafanya wengine wakala za uso na kupata aibu....
5. Umewaunganisha watanzania wote wenye mamlaka na wasio na mamlaka
6. Umenisimamisha mkunyenye mara 9,657,765.
Mpaka sasa naamini......
Nimesoma kimasihara za watu wa kila aina kuanzia watu wa chini sana kama mm mpaka hata watu wakuu sana kwenye hii nchi...... Unaweza ukawekewa kimasihara ya mtu hapa ukaanza kusema Chai na kumbeza sana kumbe ni kimasihara hata ya Waziri flani au mkurugenzi flani...
Kauli ya kuingilia December.....
Kumla kimasihara mwanamke haimaanishi yeye ni mrahisi... mwanamke uliyemkula kuna wadau wanamfukuzia karibu mwaka na hawajaambulia kitu.... so tuwaheshimu sana wanawake wanaotutunuku na kamwe tusiwatumie kama kigezo cha kusema wanawake ni warahisi........
Kuna wakati katika haya maisha unaweza kukutana na changamoto ikakutesa kwa kipindi kirefu, ila siku moja ukakutana na mtu akakutoa kwenye changamoto hiyo kwa kipindi kifupi sana. Tiririka hapa kuonyesha thamani kwa marafiki ambao wamesimama nasi kuliko hata ndugu.
Hapo kwenye Threesome ya wanawake wawili na mwanaume mmoja na ukute huyo mmoja ni msagaji na mwingine ndio anafundishwa/anafanya kwa mara ya kwanza na ww kidume ndio unatoa technical assistant...... Ni matamanio yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.