yale ni magaidi walikuwa na matalajionani kuchoma vituo vya mafuta kwamfano vituo vya mafuta vyote vilivyo chomwa moto mafuta yangelipuka wangekufa watuwangapi
Dhu al-Qarnaiyn [Zul Qarnain] "alishuhudia kuzama kwa jua kwenye sehemu yake ya kupumzikia kwenye bwawa lenye ute mweusi na wenye harufu mbaya sana." al-Tabari juzuu ya 5 uk.173-174 (Tazama Sura 18:82-97).
al-Tabari juzuu ya 1 uk.234 pia inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi yenye matope...
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
72.Surat Al-Jinn
Imeshuka Makka
Ina aya 28
Utangulizi
Orodha ya Sura
Faharasa
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU0
1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza,na likasema: Hakika...
ujafanya uchunguzi na wala uujui uislam bali ulicho kifanya wewe ni kuchukia kitu usicho kijua.Nenda kasometena na kafanye uchunguzi warabu walikuaje kabla hawaja pelekewa mtume na baada ya kupelekewa mtume
Lugha iliyotumika katika Qur-an ni Kiarabu sanifu kama tu navyoj ifu nza katika Qur-an yenyewe:
"Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni...
iyo itakuwa
kumbe unachukia kiarabu kutumika.wewe ulitaka iwe lugha gani?sikuzote lugha moja unganisha jamii ya watu ndio maana mugu akatuambia sisi waislam kwamba ameitelemsha qurani kwa lugha ya kiarabu iliwenyepesi kwetu kutumika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.