Habari wakuu,
Natafuta kazi katika sekta ya hoteli, lodge, utalii, customer service au administration. Nipo Arusha na niko tayari kuanza mara moja.
Nina vyeti vifuatavyo:
Bachelor in Wildlife Tourism
Diploma in Business Administration
Certificate in Wildlife Management
Mountain Tour Guiding...
Natafuta Kazi – Arusha
Natafuta nafasi katika sekta ya utalii, hospitality, na usimamizi wa lodge/guesthouse.
Nina Bachelor Degree in Wildlife Tourism, Diploma in Business Administration, Wildlife Management Certificate, na Mountain Tour Guiding Certificate.
Nipo tayari kuanza mara moja...
Natafuta Kazi – Arusha
Natafuta nafasi kwenye sekta ya utalii na hoteli kama:
Driver Guide / Tour Guide
Customer Service
Front Office / Reception
Guest Relations
Hotel/Lodge Attendant
Administration & Office Support
Nina sifa zifuatazo:
Bachelor Degree in Wildlife Tourism
Diploma in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.