Recent content by minagirl

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kinachowafanya baadhi ya wanaume kuwa hivi ni upande au kichaa?

    nimekuelewa vizuri
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kinachowafanya baadhi ya wanaume kuwa hivi ni upande au kichaa?

    unakutana na mwanaume, mnabadilishana namba, mnakuwa marafiki, unagundua yeye anaishi pekeyake na wewe unaishi peke yako. Cha ajabu anapogundua tu kuwa unaishi peke yako anang'ang 'ana aje kwako kila siku upike ale, wala hawezi hata siku moja kukukaribisha kwake. hivi mwanaume wa hivi anaupendo...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    kwenye miti hakuna wajenzi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    jamani naomba ufafanuzi, mafunzo ya ualimu wa chekechea yanayoendelea kwenye vyuo mbalimbali nchini nayo yamesitishwa? au yanaendelea?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Asante kwa mchango wako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Asante sana, nimefanikiwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Asante ndugu ngoja niendelee kupiga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    n aendelea ndugu yangu lakini siwapati, na naendelea kupitia profili kila wakati hakuna mabadiliko.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Kwakweli wanabore.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Nipo mkoa wa kagera, hakuna ofisi za NACTE karibu, sijui nifanye nini, kwaufupi tumekwama.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Ndugu zangu poleni na majumkumu, nipo namfanyia mdogo wangu application ya NACTE (certificate), nimezowea kupitia vyuo kadhaa kabla ya kusave CHOICE, naangalia slot na fee ya chuo nakuwa nanote kwenye karatasi baadae natulia na kufanya CHOICE, muujiza ulionitokea jana usiku, wakati nikiendelea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mniangalizie hili jina kwenye selection za Ualimu

    Niangalizie Mariam bukuru aliomba mafunzo kabilishi cheti
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

    Ivi Janani na wanaoenda certificate majina yametoka? Kama yametoka yanapatikana ktk wbsite gani, msaada wenu please!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Laptop ya ukweli

    Kwa nn unaiuza?
  15. M

    JamiiForums Tanzania TCU guide book for academic year 2014/2015

    Ipo tayari
Back
Top Bottom