Imezoeleka kuwa Jambo juzi na jema kutokea kwenye jamii au maisha ya mtu,tunaiita BAHATI ya MTENDE.
Hivyo ndivyo ilivyo kwa wakazi wa jimbo la ubungo na halmashauri ya ubungo.
Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti wake,jembe,chuma mpambanaji ,Rais John Pombe Joseph Magufuli kimetupa kijana...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye ni mwanazuoni mbobevu na mkazi wa Ubungo kwa zaidi ya miaka 20, kesho atazindua rasmi kampeni zake kwa jimbo hilo.
Prof. Kitila ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mshindi wa jimbo hili, atazindua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.